Sunday 24 July 2011

Birthday ya Machozi Band-Nyumbani Lounge Dar!

Mamba yalikua kama hivi.....picha zinajieleza


Machozi Band jana alikuwa inasherehekea miaka 6 toka ianzishe band hiyo, sherehe hizo zilikuwa pale kwenye kiota chao cha burudani NYUMBANI LOUNGE. Watu kibao walikuwepo na waimbaji wa machozi walipewa tuzo kwa kazi nzuri walizokuwa wakizifanya kwenye band hiyo

 Mwanadada Lady Jaydee akikata keki huku akisindikizwa na Shamim.

Wapenzi wa Machozi Bendi wakinyanyua glass juu kuonyesha upendo na furaha.

 Mc wa shughuli hiyo Gadner Habash ambaye pia ni mmoja ya wamiliki wa bendi hiyo.


      Waimbaji wa Machozi Bendi nao walipewa zawadi kuanzia Muimbaji Bora,Mpigaji Keyboard na msanii mweneye nidhamu

        










No comments:

Post a Comment