Tuesday 28 June 2011

BIFF LA TID NA CHILLA HALIJAISHA???



Jumanne iliyopita ndani club billcanas ambapo msanii T.I.D hufanya show yake, akiwa katika stage akierform, mara bila kutegea akapanda stejini msanii Q chila bila kuitwa, kitendo kilichomfanaya T.I.D kukatisha show yake kwa kuacha mic na kuondoka zake, baada ya kubembelezwa na wana bend yake arudi lakini wapi aksepa kabisaa, kilichofata ni Q chilla kuendelea kulitawala jukwaa huku akitunzwa mara kwa mara.
SOURCE: DJ FETTY

No comments:

Post a Comment