Saturday 25 June 2011

BONGO STAR SEARCH - BSS 2ND CHANCE YAZINDULIWA


Mkurugenzi wa Kampuni ya BenchMark ProductionMadam Ritha Paulsen akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  wakati wa kutangaza uzinduzi rasmi wa mashindano yaBongo Star Search 2011. kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium LagerGeorge Kavishe.
KAMPUNI ya 
BenchMark Production Ltd kwa kushirikiana na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager jana imezindua rasmi mashindano ya Bongo Star search 2011 yenye mwonekano wa kitofauti huku ikiwapa nafasi washiriki waliopita  kushriki katika shindano hilo.

No comments:

Post a Comment