Thursday 30 June 2011

"WHAT IS IT" KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI

Ile Filamu inayokwenda kwa jina la WHAT IS IT sasa ipo tayari na muda wowote inaweza kuchomoka.Kwa mujibu wa taarifa za mwanzo kabisa kuhusu mzigo huu ambao unaeleza kisa kizima cha wanawake wajawazito na waume zao unasubiriwa kwa hamu kubwa sana na Wadau wa Filamu nchini.Haya sasa wadau mzigo ndio huo sasa wa WHAT IS IT ambao muda wowote kuanzia sasa utavamia soko.

Wakiwa location!!!








Mtoto Aisha akiwa on set!


Skyner Ally


Mwanadada Skyner aliyetingisha kwenye SECOND WIFE kwa mara nyingine ataonekana tena ndani ya mzigo huu wa WHAT IS IT


Source:Ray the Greatest

No comments:

Post a Comment