Saturday 25 June 2011

SHAA KESHO LIVE BIG BROTHER

Mwanamuziki wa kike  kutoka Tanzania ambaye aliwahi kua ndani ya kundi  la wakilisha na kupata zawadi ya kutembelea jiji la Johannesburg akiwa kama Coca Cola Pop Star, kesho atakua mmoja wa  mtumbuizaji katika shoo ya kutoka mmoja wa washiriki waliomo katika shindano la Big Brother Amplified.

No comments:

Post a Comment